Baada ya Man United kupokea kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Leicester City, kiungo wake Angel di Maria ameonekana mitaani akiranda.
Di Maria raia wa Argentina alionekana akifanya manunuzi ya vitu mbalimbali.
Lakini kabla aliingia kwenye ATM na kuchota ‘minoti’ aina ya pauni, halafu akaanza kufanya manunuzi.
Di Maria amejiunga na Man United akitokea Real Madrid.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni