Mbunge wa jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwaajili ya mashabiki mara baada ya uahindi wa timu yake mabao 3-2 dhidi ya Simba.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni