GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 2 Agosti 2014

Nakualika kutazama video mpya ya Dayna hii inaitwa I DO..

Hii ni video mpya aliyoahidi DAYNA NYANGE kwa mashabiki wake kuwa itatoka mwanzoni mwa mwezi wa 8 kaikamilisha ahadi na sasa ipo tayari,wimbo unaitwa I DO ndani ya wimbo utamchek Ammy Nando ambaye alikua mshiriki wa Big Brother Africa 2013.
Video imetayarishwa na kampuni inayoitwa Kwetu Studio na upande wa audio imefanywa na Producer Triss kutoka Conga Music.
Bonyeza play kutazama hapa chini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni