GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 2 Agosti 2014

Baada ya Nicki Minaj, huyu ni staa mwingine wa dunia alietumia neno la ‘Kiswahili’ instagram

Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni