GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumapili, 3 Agosti 2014

Mwonekano Mpya wa Kimwana LULU MICHAEL

Mcheza  Filamu  maarufu  nchini  Elizabeth  Michael  ‘Lulu’  ameonekana  kwenye  mtadao  wa  Instagram  akiwa  ametupia  picha  zake  zenye  muonekano  wa  kunoga, kaiva, kawa  mtamu balaa..
 
Picha  zinajieleza, Kazi  kwenu  wanaume, na  ikumbukwe  tu  kuwa  Lulu  bado  yupo  SINGLE(  Hana  mtu )


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni