GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumapili, 3 Agosti 2014

BATULI: Nasaka Mwenye Pesa atakayekuwa tayari kunilipia Ada ya uhudumu wa Ndege

BATULI  amesema  kuwa  anahitaji  kwenda  kusomea  uhudumu  wa  ndege  lakini  anashindwa  kufanya  hivyo  kwa  sababu  ya  kubanwa  na  maisha, lakini  endapo  atapata  mtu  wa  kumlipia  ada  yupo  tayari  kuachana  na  filamu  na  kwenda  kusoma.
 
Mrembo  huyo  akizungumza  na  mwandishi  hivi  karibuni  aliweka  wazi  ishu  hiyo  kwa  madai  kwamba  anahitaji  kutimiza  ndoto  yake  juu  ya  suala  hilo  kwani  ni  wazo  lake  la  muda  mrefu  ingawa  hakuwahi  kumwambia  mtu  yeyote….


Mwanadafada mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
 
“Napenda  sana  kazi  hiyo  ikibidi  hata  urubani  kabisa  pia  naona  naweza  kufanya.Tatizo  ni  gharama, naamini  endapo  ntapata  mtu  wa  kunidhamini  naweza  kwenda  kusomea  ili  nitimize  ndoto  zangu  za  muda  mrefu,”alisema

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni