GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 6 Agosti 2014

MSICHANA ALIYEPIGWA NA MTOTO WA RAIS OBAMA ATOA KAULI YA KUSHANGA.

Mtoto wa Rais wa Marekani, Malia Obama mwenye umri wa miaka 16 alimpiga au alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la Lollapalloza nchini Marekani.

Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa na sana na tukio hilo kutokana na umarufu wa Malia Obama.
Truskey ame tweet kadhaa kuonesha furaha yake  huku maelezo yakionesha kuwa haamini kilichotokea.
"I got (accidentall) kicked by Malia Obama to dayat Lollapalloza. No lie Malia Obama. It was awesome #  Lollapalooza"

Ni kweli msichana huyo anasababu ya kufurahi kwa kuwa amekuwa maarufu pia kupitia tukio .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni