GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 6 Agosti 2014

DIVA AMMWAGIA MISIFA KIBAO DEMU MWENZA KWA PREZZOO...SOMA ALICHOKISEMA HAPA .

Ikumbukwe kua DIVA wa clouds FM alishawai toka na PREZZOO toka Uganda ambae badae walizinguana, Prezzoo akaanza toka na CHAGA BARBIE na baadae VERA SIDIKA kwenye picha. Leo hii kupitia INSTAGRAM Diva kaonyesha kumkubali sana VERA na kuandika ujumbe huu hapa chini


Soma vita vya Mademu wa Prezzoo ndani ya instaa....!!
Kuliibuka maneno ya chini chini baada ya mkali kutoka Kenya Prezzo kutoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la My Gal ambapo video queen wa wimbo huo alikuwa mwanadada Vera Sidika wa nchini kenya,ambapo maneno hayo ya chini chini ilikuwa inasadikika kuwa Prezzo anatoka kimapenzi na mwanadada Vera, na baada ya tukio hilo katika mtandao wa kijamii wa instagram kumekuwa na mashindano kati ya mwanadada Vera na mwandada Chagga Barbie ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Prezzo, kwanza walianza kutishiana kwa likes za instagram kama unavoona kwenye picha hapo chini - 
na baada ya maneno hayo ya kutupiana juu ya likes, ikafata sehemu ya kutishiana maumbile yao kwani Vera alianza kuachia picha ikionesha makalio yake na ndipo mwanadada Chagga naye alijibu kwa kutupia picha ikiwa sawa na ya Vera, angalia picha hapo chini -

watoto wa mjini wanasema wacha MOVIE IENDELEE sisi yetu macho tu - See more at: GennSwahili


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni