Rapper Kanye West na Mke wake Kim wamenunua nyumba iliyopo kwenye heka tatu na nusu huko hidden Hills, Calabasas karibu na nyumba ya Mama yake Kim Kris Jenner. GennSwahili wanaripoti kuwa K&K wametumia dola za Kimarekani milioni 20 kununua nyumba hii ambayo awali ilikuwa ikiuzwa dola 21.
Nyumba ina mabwawa mawili ya kuogelea na majirani wameipa lina " The jewel of Hidden Hills" Nyumba hii awali ilimikiwa na mtoto pekee wa msanii Elvis Presley anaitwa Lisa Marie Presley.












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni