MWENDESHA baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani Morogoro jUZI.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.

Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.

Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni