GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 25 Agosti 2014

CHRIS BROWN ANUSURIKA KIFO, SUGE KNIGHT AKIJERUHIWA KWA RISASI

MWIMBAJI Chris Brown amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi ndani ya klabu ya usiku jijini Los Angeles ambapo prodyuza Suge Knight amejeruhiwa.

 Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku iitwayo 1OAK iliyopo magharibi mwa Hollywood wakati wa shoo iliyokuwa ikiongozwa na Chris Brown kabla ya zoezi la utoaji Tuzo za VMA ambapo watu watatu wamejeruhiwa mmoja akiwa mahututi.

 Suge Knight alipigwa risasi mara mbili tumboni na mkononi na kukimbizwa hospitali ambapo anaendelea na matibabu.

 Mastaa wengine waliokuwepo kwenye klabu hiyo wakati tukio hilo likitokea ni pamoja na Justin Bieber, rappa The Game, Pia Mia, Tyson Beckford, Robert Ri'chard  na wengineo.

 Indaiwa mlengwa mkuu katika shambulio hilo alikuwa Chris Brown.


Chris Brown akiwa Klabu 1OAK kabla ya vurugu kutokea.

Suge Knight amejeruhiwa tumboni na mkononi katika shambulio hilo.

Chaos: Knight is treated by oparamedics after the frightening events at 1OAK in West Hollywood 
Knight akifanyiwa matibabu ndani ya ambulance
Leaving: Brown is seen walking to his Lamborghini after the drama at 1Oak in Los Angeles
Chris Brown baada ya tukio

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni