Mgonjwa wa Ebola amebwa
Mkurugenzi wa shirika la afya la duniani Margeret Chan anasema kuwa kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika kunaweza kusababisha janga bay iwapo hautaziwa.
Akizungumuza mjini Conakry baada ya kukutana na marais wa Guinea, Liberia na Sierra Leone amesema ugunjwa huo unasambaa kwa kasi ikilinganishwa na juhudi za kuudhibiti, lakini akaongeza ya kuwa unaweza kusitishwa kutokana na usaidizi wa kimataifaa.
Marekani imesema kuwa raia wawili wa taifa hilo wa kutoa msaada wanaugua uogonjwa wa Ebola watasafirishwa hadi nchini Marekani mapema wiki ijao ilikupewa matibabu katika eneo liliotengwa.
Kisa hicho cha ugonjwa huo kitakuwa cha kwanza kutibiwa Marekani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni