GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumanne, 29 Julai 2014

Pichaz za Tarsisi Masela kwenye utengenezaji wa video yake mpya Nairobi.


Tarsisi Masela ni jina jingine ambalo lipo kwenye timu ya band ya Akudo Impact huu ukiwa ni mwaka wa saba toka alipochukuliwa na band hiyo kutoka Congo DRC.
Tarsisi anafanya pia muziki wake binafsi kwa sasa na anakanusha stori za yeye kuihama band hiyo, bado yuko AKUDO lakini anafanya single zake kama yeye na tayari ameshawahi kuwashirikisha wakali kama Chidi Benz na Mzee Yusuf.
Baada ya mwezi mtukufu Rais huyu wa Akudo Impact anatarajia kufanya kitu kikubwa sana kwenye hii project yake binafsi.








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni