Nana Richard Abiona maarufu kama FUSE ODG ambae ni Muingereza mwenye asili ya
Ghana, ni staa mwingine ambae ana rekodi zake kwenye list ya mziki mkali wa Afrika 2013/2014.
Baada ya kufanya muziki na mastaa wa dunia kama Wyclef Jean kwenye ‘Antenna‘ ambayo ilishika mpaka nafasi ya 7 kwenye chart za muziki UK na ‘Azonto‘ iliyochukua mpaka namba 30 kwenye chart hizo za UK.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni