Mwigizaji maarufu nchini Kenya na Afrika mashariki Joseph Olita Ogola amefariki dunia leo. Msanii huyu aliyekuwa anafanana sana na Iddi Amin alivuma na sinema ya (Rise and fall of Idi Amin 1981). Olita hadi wakati wa kifo chake alikuwa na umri wa miaka sitini na minane. Olita, Aliyefariki kutokana na mshtuko wa moyo, alikuwa tu amemaliza shughuli ya matanga ya mamake aliyezikwa jumamosi iliyoisha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni