GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 31 Mei 2014

Wahitimu wa kike kidato cha 6 bado wachache

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama

IDADI ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume na serikali imekuwa ikifanya juhudi za makusudi kukabiliana na changamoto hizo, kupandisha uwiano wa wanafunzi wa kike na kiume vyuoni kwa asilimia 50 kwa 50.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni