GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 30 Mei 2014

Ni aibuuuuu MGANGA WA JADI AFUMWA AKIMLA URODA MGONJWA, TAZAMA HAPA



                                        Binti mmoja hapa jijini Mbeya akaenda mganga. mmoja maarufu kwa utabiri na kumwomba ampe dawa ama kumfanya awe mtabiri
  Baada ya kufika kwa mganga na kumwelezea kilichompeleka, mganga akamtoa wasiwasi na kumwambia dawa keshapata na mganga akainuka kwenda kuifuata.
Mara mganga kaja na kondomu na kuanza kuivalisha kwenye uume wake.
Yule binti kadakia heeeeee wewe mganga wataka kunifanya nini asubuhi yote hii?
Mganga akamjimbu hongera sana naona ushakuwa mtabiri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni