TAZAMA JINSI WASICHANA WA KITANZANIA NA WAAFRIKA,WANAVYOSAFIRISHWA NA KUFANYISHWA BISHARA YA UKAHABA ULAYA!
Mapema
sana katika hii blog tuliandika kuwa namna gani wasichana wa kiafrika
wanavyojiuza katika nchi za uarabuni na wengi wenu bado mna mashaka kuwa
ni kweli au la.Kwa hiyo nimeamua kushea nanyi hii habari
ambayo imefanyiwa uchunguzi makini sana na kituo cha habari cha Al-Jazeera
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni