GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 15 Juni 2015

Maskini Timu yatu ya Taifa Yachapwa Bao Tatu Bila na Misri..Kocha Azidi Kujifungulia Milango ya Kutimuliwa

 
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria.

Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni