GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 22 Juni 2015

Kocha Mkwasa na Julio kocha msaidiz sasa ndani ya Taifa Star! Wazungu Hatutaki Tena......

 
Habari! naandika hivi kwasababu zifatazo.

1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.

2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.

SASA.
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja

Tiafa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.

Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni