
Usiku wa Jan 17 wakali wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, Jux, Nahreel na Aika wamepiga show ya nguvu iliyopewa jina la Love Kwa Ma Fans iliyofanyika kwenye uwanja wa Ngome Kongwe, Zanzibar.
Miongoni mwa wasanii walio share jukwaa kuamsha hisi za mashabiki kutokana na burudani kali ni Baby J pamoja na msanii kutoka Endless Fame Mirror.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye show hiyo.




Aika akitoa burudani ya nguvu.


JUX akisabaisha kwenye stage

Mashabiki

Vanessa Mdee jukwaani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni