GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumapili, 3 Agosti 2014

ASKARI FEKI MWINGE WA USALAMA BARABARANI ANASWA JIJINI DAR...

Askari feki wa usalama barabarani abae jina lake halifahamiki haraka akiwa chini ya ulinzi mkali  wa askari polisi( hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya askari  wa usalama barabarani huku akifahamu ni kosa kisheria.

Inasemekana mtuhumiwa aliwahi kuwa askari barabarani ambapo kituo chake cha kazi   Mkoa wa pwani ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa  kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za jeshi la polisi Tanzania.


Askari polisi ambae jina lake halikufahamika mara moja(mwenye  sweta) akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama barabarani leo katika eneo la Chamazi jijini  Dar es salaam.


Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la polisi kumtia nguvuni leo katika eneo la Chamazi jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni