GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 26 Julai 2014

Sikiliza Habari  kuhusu  Barbana Kutoka na Kimapenzi na House Girl wa Wema Sepetu

July 25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video ya ke ya Wahaladee ambayo imetengenezwa kwenye ardhi ya inch mbili Tanzania na Kenya. Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana wanayesema kama ni mpenzi wake kusimamishwa kazi alikuwa anafanya kazi nyunbani kwa Wema Sepetu.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni