Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.
Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALI KIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALI KIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGOAND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALI KIBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni