
Star wa Bongo movie Wema Sepetu amesema filamu yake ya pili atakayofanya na muigizaji kutoka Ghana, Van Vicker itkuwa ya Kiingereza pia.
Wema amesema lengo la kufanya hivyo ni kuifanya iwe ya kimataifa zaidi.
"Aakuja ataka kama for three weeks, tatufanya audition, kwa sababu tunataka kufanya movie ambayo itakuwa straighty in English. Tutaweka subtittle za Kiswahili lakini tutakuwa tunaongea lugha ya Kiingereza,"Alisema Wema.
"Lengo ni kuwa international, kutoka soko la nyumbani." GennSwahili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni