
Lile vazi la Faiza Ally KTMA lamfanya Sintah kuropokwa haya kuhusu Faiza:
'Wakati mwingine lazima ujiulize hivi sie binaadam zimo
kichwani ama, mtoto mwenye heshima aliyezaliwa na wazazi wake no matter
what hawezi kufanya huu ujinga, huyu ndio maana sugu alimpiga chini
maana aliona mbali, mtu anawakilisha jimbo anakuwa na demu mcharuko
zaidi ya dagaaa katika chungu? uvaaaji gani huu yarabi but somehow i
blame kwa waliotoa kadi maana utapelekaje watu kama hawa katika awards?
mnaacha kuwapa watu wa maana na shughuli zao mnawapa watu wanaokuja
kutega mingo, maana kama sio kutega mingo hiki ni nini?? anyway
Mh Sugu
kaa na mzazi mwenzio umwambie maana tangu aachane na wewe naona
zimemruka kichwani , hata kama hupo naye ila ana mtoto wako unakubalije
mama wa mtoto wako akafanya haya maajabu ya kishetani bora ajiuze kimya
kimya kuliko kama hivi watu wanasema demu wa Sugu mptuuuu kwakweli
Faiza unatia aibu unajaribu so hard lakini wapi?? tatizoooo nyota ipo
siku utakunya stand wewe kwa mwenendo huu wa kutaka umaarufu kiulazima
kwani hujawahi kuona watu wakienda sehemu kama zile
wanatakiwa wavae nini?? halafu siku hizi wanaume wamejanjaruka hawataki
cheap products kajipange upya
ila marafiki wabayaaa na ma snitch sasa mnamuachaje
anatoka hivi ama ndio hasikii kupitiliza yaaani mie ndiye ningekuwa but
haiwezi kutokea nikawa rafiki yake ningemchapa kwanza its so disgusting, nasty ptuuuuuuu' By Sintah
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni