Sarkodie ni rapper kutokea Ghana ambaye mwaka jana alishinda tuzo ya Headies Awards 2014 kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho miongoni mwa wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hiyo alikuwepo Diamond Platnumz (Tanzania) , Mafikizolo (South Africa) na wengineo.
Sasa time hii rapper huyo kaisambaza hii video mpya iitwayo New Guy amemshirikisha rapper Ace Hood.
Video hiyo imeongozwa na Director Justin Campos aliyeongoza video ya Vanessa Mdee iitwayo ‘No Body But Me’.
Itazame hapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni