GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 17 Juni 2015

Kuna mastaa hawafuati uzazi wa mpango Marekani?? Hawa ndio wana watoto wengi zaidi !!

sunset-crazy-kids 
Siku hizi kumekuwa na watu na Taasisi zinazofanya harakati za kuhamasisha watu kufanya uzazi wa mpango.. wapo wanaofuata wengine hawafuati utaratibu huo kabisa.
Wapo wanaoamini kwamba wazungu wako poa sana kwenye kufuatilia ishu ya uzazi wa mpango, lakini kumbe wako wengine hawana hiyo kitu yani !!
Nimewapata hawa 11, yani kati yao mwenye watoto wachache ana watoto watatu tu !!
Brad Pitt & Wife 
Angelina Jolie na Brad Pitt wote ni wakali wa action movies Hollywood.. wana watoto watatu wa kuwazaa wenyewe alafu wana watoto watatu yatima ambao waliwachukua na wanawalea kama watoto wao.
Bruce Willis 
Bruce Willis ana jumla ya watoto watano.
Diddy and Kids 

Staa wa Hip Hop ambae kwenye Ripoti ya Forbes ametajwa ndio tajiri zaidi Duniani, P Diddy ana watoto sita!
 Eddie Purpyh

 YES.. Niko na staa wa Movie kule Holywood Marekani. Eddie Murphy ana jumla ya watoto nane aisee!
 Lauryn Hill
                                Mwimbaji Lauryn Hill yeye ana watoto wake sita tu.

lil-wayne-live-650-430 
           Rapper kutoka YMCMB, Lil Wayne. Ana watoto wanne na kila mtoto ana mama yake.

. 
Mark Wahlberg na familia yake, watoto wake jumla wako wanne na mkewe ni huyohuyo mmoja anaitwa Rhea.

Mel_Gibson_s_girlf_1395760c 
Mel Gibson ana watoto nane, saba aliwapata kabla ya kuwa na Oksana Grigorieva
 
Mitt Romney 
Mitt Romney aliwahi kugombea Urais wa Marekani mwaka 2012 akiwa anapambana na Obama, huyu mzee ana watoto watano na wote wa kiume.

 tyson
Bondia mwenye record zake za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson.. Jamaa ana watoto nane aliozaa na wanawake saba tofauti.

video.omgnow.insider.com@27599584-7e4a-3b12-8b7f-3669ca100083_FULL 
Ni actor mkali pia kwenye list ya wanaowakilisha Holywood.. Kevin Costner nae ana jumla ya watoto saba.
Kati yao unaona nani kafunika kuliko wenzake mtu wangu?

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni