
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda
Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza
kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri
yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini
unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za
wagombea wote...
Kweli ama si Kweli?
Kweli ama si Kweli?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni