Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Afrika Kusini kwa
ziara ya kimuziki ambapo mapema wiki hii alisimamia Yamoto Band kwenye
video yao ya kwanza kuitengeneza kimataifa kisha tuzo za MTV
alikochaguliwa lakini pia amefanya kolabo na staa wa muziki kwenye nchi
hiyo aitwae Donald.
Kwenye page yake ya twitter alikua akiRT na kupost picha akiwa kwenye
vituo vya Radio za South Afrika akiwa na Donald katika kuipromote hiyo
single yao mpya ambapo wakati akiwa anaendelea kupost hizo picha
alitokea shabiki mmoja kwenye twitter akamuandikia >>> ‘Ushamba huo hata interview unarusha, kina ngosha washafanya hizo kibao tu, vitu vingine vya kawaida sana wewe‘
Baada ya hiyo Tweet Diamond alimjibu kama inavyosomeka hapa chini….
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni