Kocha wa timu ya Taifa TZ, Taifa Stars
alijikuta kibarua chake kikifikia mwishoni baada ya kusimamishwa
kuifundisha timu hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya mfululizo.
Ishu imeingia Bungeni, Mbunge Iddi Azan aliuliza swali >>> “Timu
ya Taifa imefanya vibaya na Kocha amefukuzwa, Serikali inachukua hatua
gani kwa sababu tangu siku ya kwanza alionekana mbovu kwa kuwa
alifukuzwa Msumbiji” >>> Iddi Azan.
“Alitegemewa
kuwa Kocha ambaye angetuletea ushindi, hili la kumfukuza Kocha kuna
mchakato unaendelea kuhakisha anabadilishwa… Katika masuala ya michezo
uwezo wa Kocha mutategemea na timu nzuri ya wachezaji” >>> Waziri Fenella Mukangala.
Stori hii iko kwenye hii sauti hapa …
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni