![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiaWv9dMbJHPRu3PTeHFDJZmvYQCELA9H76Uw25f5ZepwVo6JSORUPqr1LeYG0b_xR-sJqn4C8DVadQa6UTRBynKRKvLLV7Cf2FxcGAnRVwafqLwOpFTS1oHtKn6-VnQzwvBVmmVNdkzQ/s640/unnamed.jpg)
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond
ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita
kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.
Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari
na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema
kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana
anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake
Diamond.
Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki
wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine
wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.
Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.
Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni