Tumeona collabo kali za Davido na mastaa wengine Africa.. safari hii kajiongeza, kavuka border mpaka Marekani na kufanikiwa kufanya wimbo na rapper Meek Mill ambae ni mpenzi wa Nick Minaj.
Zilianza story mitandaoni juu ya hii collabo.. Davido ameamua kuachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa ‘Fans Mi’.. Iko hapa unaweza na wewe kuicheki kama ilikuwa bado haijakufikia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni