Full video ya TUZO ZA KILI 2015, burudani na washindi walivyotajwa !
Vanessa Mdee kwenye stage, picha ilipigwa ya mrokim.blogspot.com
Tuzo za KILI ni tuzo kubwa za muziki
Tanzania ambazo kwa miaka sasa zimekua zikitunuku Wasanii kila mwaka
kutoka kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya BongoFleva.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni