Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.
Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90)
kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa mamlaka
kamili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni