GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 22 Juni 2015

Baba kafanya ukatili kwa mtoto wake, ishu ni hiki alichojitetea Mahakamani !!

jailed 
Hizi stori ziko nyingi sana zinazohusu wazazi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na watoto wao, wako wanaoenda mbali zaidi na kufanya ukatili kama wa kubaka na kulawiti watoto pia.
Imenifikia hii kutoka Zimbabwe, baba kambaka mtoto wake na kwenye kujitetea anasema kwamba  eti ni utaratibu na utamaduni wao kutembea na mtoto wa kwanza ndani ya familia.
Polisi hawakumwachia, mzee huyo amefunguliwa mashtaka kwa kosa la ubakaji lakini bado alichoendelea kujitetea ni maneno yake yaleyale kwamba huo ni utamaduni wao kabisa !!
Wazazi wa mtoto huyo walitengana, siku ya tukio binti aliamua kwenda kumsalimia baba yake… baba huyo akavamia ndani ya chumba cha mtoto huyo na kumbaka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni