GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 13 Mei 2015

Mashabiki wa Manchester City hawakuwa nyuma kwenye siku hii muhimu kwa Yaya Toure…

yaya 
Jana kiungo wa Manchester City alitimiza umri wa miaka 31 wakati akiwa ndani ya kikosi chake hicho kilichokuwa kikicheza na QPR kwenye uwanja wa Etihad.
Baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo waliingia uwanjani huku wakiwa wamebeba mabango ya kumpongeza kwa kufikisha siku yake hiyo muhimu kwake.

yayaa

Furaha ya kiungo hiyo ilitimia baada ya timu yake kuweza kuiadhibu QPR kwa jumla ya mabao 6-0 na kuifanya ishuke daraja.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni