GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 10 Januari 2015

Unatamani kuyaona ya Nick Minaj nyuma ya camera? Documentary yake inakuja, icheki teaser yake hapa (Video)

Nicki-Minaj-Talks-Natural-Look-and-New-Album

Star wa Marekani asiyeishiwa vituko anayehit na ‘Anaconda’ kwa sasa, Nicki Minaj anaandaa documentary inayokuhusu hisia za  (rollercoaster’) kwa ajili ya kufanya albamu yake mpya.
Star huyo ambaye mwezi December aliachia ‘Pinkprint’  atawapa mashabiki wake nafasi ya kufahamu kwa undani mapambano anayokutana nayo  kwenye muziki kupitia Documentary hiyo ya ‘Nicki Minaj: My Time Again’.

Kilichotokea 2014 kati yake na Safaree ni moja ya vitu vitakavyokuwa ndani ya documentary hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Twitter, Nick Minaj aliandika  ‘I can finally share this! Here’s the trailer for my new @MTV doc #MyTimeAGAIN! (sic).’ @NICKIMINAJ

nick



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni