GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 17 Januari 2015

Umepitwa na U Heard? Nimekurekodia hapa, ya leo Jan 16 inamhusu msanii Barnaba

Barnaba III
Kwenye U Heard ya leo January 16 inahusu story ya Barnaba ambaye aliibiwa gitaa ambalo anatakiwa kwenda nalo kwenye show Marekani.

Soudy Brown ameongea na Barnaba ambaye amesema aliibiwa gitaa hilo ndani ya gari yake.
Gitaa aliloibiwa Barnaba lilikuwa lile alilopewa zawadi na mke wa Rais Mstaafu wa Marekani, Laura Bush kama zawadi walipoenda kwenye ishu ya Kampeni ya kupambana na Malaria ameomba kama mtu yoyote anaweza kulipata gitaa hilo ampatie kwani ni muhimu anapokwenda Marekani kwenye show mwezi wa March awe nalo.
Unaweza kuisikiliza hapa U Heard yote mtu wangu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni