GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 10 Januari 2015

Tuzo za CAF: Red Carpet, utoaji wa Tuzo, show za akina Fally Ipupa, Diamond Platnumz, P Square hapa (Pichaz)

Diamondz

Usiku wa January 8, ilikuwa ni siku ambayo  Shirikisho la Soka  Afrika, CAF walitoa Tuzo  kwa Wachezaji  Bora wa Afrika waliofanya vizuri kwa mwaka 2014.
Hapa nimekuwekea Pichaz za Redcarpet  za baadhi ya mastar waliohudhuria sherehe hizo pamoja na matukio mbalimbali ikiwemo show ya P  Square, Diamond Platnumz, Flavour na Fally Ipupa.

Msanii Lynxxx wa Nigeria.

.
Muigizaji anayewakilisha Nolywood, Ini Edo.

.
Muigizaji wa Nolywood, Van Vicker.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0003-400x600

.
Muigizaji wa Noloywood, Richard Mofe-Damijo

Mchekeshaji Bovi (huyu alitokea kwenye video ya Yemi Alade ya 'Johnny')
Mchekeshaji Bovi (huyu alitokea kwenye video ya Yemi Alade ya ‘Johnny’)

.
Mchezaji Jay Jay Okocha.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0006-400x600 - Copy
Golikipa Vincent Enyeama, huyu alikuwa akiwania pia tuzo hiyo.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0060-400x600
Msanii 2 Face Idibia.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0067-400x600

.
Asisat Oshoala, mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria.

.
Mchezaji Yaya Toure akiongea baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0055-600x400

Diamondz
Diamond Platnumz akifanya show.

.
Msanii Flavour akifanya show.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0026-600x400 - Copy

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0044-600x400

.
Msanii Fally Ipupa.

.
P Square.

Glo-CAF-Awards-January-2015-BellaNaija0081-600x400


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni