Linex ni mmoja ya wakali ambao wamevuka mwaka kwa kuweka rekodi nzuri mwaka uliopita na pia kuanza 2015 kwa kuandika rekodi nzuri pia.
Jana January 11 ilikuwa shangwe pale Kigamboni, kama ulikosa nafasi kuwa mmoja ya waliojitokeza kumpa shangwe la nguvu mkali huyu nakupa time kuenjoy na picha hizi ambazo nilikupigia jana wakati Linex akitoa burudani kubwa kwa watu wake pale Club Kakala, Kigamboni Dar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni