Star wa filamu kutoka Nigeria Omotola Jalade ni mmoja ya wachache waliofanikiwa kudumu katika fani hiyo kuanzia kipindi ambacho tulianza kuangalia filamu za Kinigeria.
Omotola, mume wake, Kapteni Mathayo Ekeinde na marafiki zake wameamua kusherehekea maadhimisho ya miaka 20 ya muigizaji huyo ndani ya Nolywood kwa kuwatembelea wajane na watoto yatima na kuenjoy nao chakula cha mchana, burudani ya muziki pamoja na kutoa zawadi mbalimbali.
Mume wa Omotola akidance na rafiki yake.
Omotola akiwa na watoto yatima aliowatembelea.
Baadhi ya vitu alivyotoa msaada muigizaji huyo.
Muigizaji Omotola akiwa na mumewe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni