Mchumba wa Nay wa mitego atupia picha tata huko instagram!!
Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson 'Mama Curtis' amepost leo picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia Account yake ya Instagram.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni