GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 15 Januari 2015

Kwa mara ya kwanza WizKid anashuka Tanzania!!


WizkidMashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. 
Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza. 
Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo. 
“Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, South Africa, Congo, Dubai , New York nd the Europe tour! Starboy starting 2015 heavy. Get ready guys !!” alitweet Wizkid 

Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, South Africa, Congo, Dubai , New York nd the Europe tour! Starboy starting 2015 heavy. Get ready guys !! 
— Wizkid Ayo Balogun (@wizkidayo) January 13, 2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni