Chama cha Soka Afrika CAF kimetangaza kuwepo utaratibu wa kufanya vipimo vya ugonjwa wa Ebola katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, AFCON inayotarajiwa kuanza Jan 17 ambayo ni siku ya kesho.
Vipimo hivyo vitakuwa vikifanyika kwa wachezaji, viongozi na Mashabiki wote watakaowasili katika nchi ya Guinea ambayo michuano hiyo inafanyika
Taarifa kutoka Guinea ni kwamba tayari Cape Verde imekuwa timu ya kwanza kuwasili nchini humo na walioongozana na timu hiyo tayari wameshafanyiwa uchunguzi huo.
Iko hapa story yote ambayo nimekurekodia kutoka WBS TV ya Uganda hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni