Alhamisi ya January 15 kwenye U Heard imesikikka story ya msanii Mabeste ambaye Mwaka 2014 haukuwa mwaka mzuri kwake kutokana na familia yake kuandamwa na matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa yaliyohusishwa na imani za kishirikina na kumlazimu kuweka muziki pembeni na kutumia muda mwingi kuhudhuria Kanisani.
Soudy Brown amepiga story na mke wa Mabeste ambaye amesema aliugua kwa muda wa miezi 6 lakini hayuko tayari kuzungumzia ishu hiyo kwa undani zaidi kwa sababu ni mambo yanayomuumiza na anahitaji kusahau, kwa sasa anamshukuru Mungu yeye na Mtoto wanaendelea vizuri.
Isikilize story yote kwenye U Heard hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni