Leo January 9 ni siku ambayo Prezzo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa lakini haijawa siku nzuri kutokana na msiba wa rafiki yake wa karibu, Fidel Odinga ambaye ni mtoto wa mwanasiasa mashuhuri Kenya, Raila Odinga.
Ujumbe aliouandika Prezzo katika ukurasa wake wa Instagram umeonyesha majonzi aliyonayo siku ya leo kutokana na msiba huo, pia akamalizia post hiyo kwa kumshukuru mpenzi wake; “Really Dnt know where to start but I guess this is a celebration of life 4 both my fallen General Fidel Ca$tro Odinga & myself. I know ur celebrating with me but in a better place. Mad love to my Empress, my rib my ❤ 4 making my b-day memorable. #QueenWithTheCrown#Rapcellency“– @prezzo254
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni