GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 10 Januari 2015

Amini afiwa na mwanaye!!!

Mke wa msanii wa muziki Amini, Farida akiwa na mimba.

 
Msanii wa Bongo Flava, Amini. 

Mke wa msanii wa muziki Amini, Farida jana jioni alijifungua kwa operesheni lakini kwa bahati mtoto ambaye kwa bahati mbaya alifariki katika Hospitali ya Sisa Mwananyamala jijini Dar.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni