GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 10 Januari 2015

Alichokisema Boss wa Miss Universe kwa mwakilishi wa Tz, Nale Boniface kiko hapa

TZUNI

2014 tumeshuhudia mwamko mkubwa kwa Watanzania wakitoa support ya nguvu kwa wawakilishi mbalimbali  wa Tz nje ya nchi.
Hii huenda ikawa dalili ya good news nyingine kuanza na Tanzania mapema mwaka 2015, story ni kwamba mwendeshaji wa shindano kubwa la urembo la Miss Universe duniani, Donald Trump amemsifu mwakilishi wa Miss Universe kutoka Tanzania, Nale Boniface ambapo amesema mwaka huu kumekuwa na mshiriki mzuri kutoka Afrika na kutaja jina la mwakilishi huyo.

“This time we have such a young and beautiful contender from Africa…”–  Alisema Trump na kumtaja Nale Boniface.
Baada ya hapo aliomba kupiga picha na mshiriki huyo

IMG_20150109_171950

Mkurugenzi wa Miss Universe Tanzania amefurahishwa na hilo; “Nimefurahishwa na kauli ya Mr. Trump na Mtanzania Nale Boniface ananafasi kubwa kuingia Top 16, kwa kuwa sasa ni mrembo pekee kutoka Africa anayekubalika na kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii…”—Maria Sarungi.

View image on Twitter

View image on Twitter
Miss Universe Tanzania & Kenya got our attention big time @realDonaldTrump @MariaSTsehai @TzKEUniverse

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni