GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Desemba 2014

Wiz Khalifa kaungana na Davido na Huddah kwenye list ya Xmas hii.

Wiz 4

Ni gari aina ya Bugatti Veyron Rembrandt edition alilolinunua ambalo amelipa jina lake badala ya kuweka namba kama raia wengine huku pesa ya kulinunua ikitajwa kuwa ni 2.5 million ambayo kwa Tanzania ni zaidi ya 4246750000.
Wiz Khalifa amejinunulia huu mkoko kwenye kipindi hiki cha sikukuu ambacho mastaa wengine wa Afrika pia wamejinunulia magari yao akiwemo Davido wa Nigeria na Huddah wa Kenya

wiz k1

wiz 5

Wiz 1

Huddah
Huddah
huddah 2

dvd
Gari alilonunua Davido.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni